VIDEO: YANGA YAVULIWA UBINGWA LIGI KUU
LIGI Kuu Tanzania imeendelea jana, lakini rasmi ni kwamba Simba wakishinda michezo yao yote watakaa kileleni kwenye ligi, wachambuzi wako watakueleza kila kitu na kwanini Yanga wanaangusha pointi mfululizo jambo ambalo linaweza pelekea kuipa Simba nafasi ya kutetea ubingwa.
Pia watajadili kuhusu mchezo wa Simba vs Al Ahily, safari ya Shiza Kichuya Misri pamoja na Ligi Kuu ya England, usikose kuanzia saa 10:00 jioni.
Waandishi nyinyi msipitilize Katika mapenzi yenu kwa vilabu sasa Yanga anavuliwaje ubingwa wakati msimu uliopita hakuwa bingwa??? Mnaupotosha umma kwa Kurosawa uweledi na umakini na kuendekeza mapenzi yenu kwa timu nyingine....mnatumia muda mwingi kuiponda timu Fulani
ReplyDeleteYanga haivuliwi ubingwa maana haina kombe kwasasa lipo Msimbazi, ila itashuka kileleni na kumwachia mwenye nyumba atetee nafasi yake.
ReplyDeleteMwenye macho haambiwi tazama,japo si kila atazamae huona,kuna upofu wa aina nyingi sana.mfano kipofu wa nafsi je wawezaje kumponya kipofu wa macho,nyote ni vipofu so hakuna uzima wala uponyaji hapo.
ReplyDeleteHapa lazima tuwakumbuke wahenga,mwenda tezi na omo,marejeo ngamani.
ReplyDeleteMwenye macho haambiwi tazama,japo si kila atazamae huona,kuna upofu wa aina nyingi sana.mfano kipofu wa nafsi je wawezaje kumponya kipofu wa macho,nyote ni vipofu so hakuna uzima wala uponyaji hapo.
ReplyDeleteHuu ni Mpira wa Miguu ebo, msifikiri simba atashinda michezo yote. Hii ni Ligi mtaona!
ReplyDeleteBongo hakuna blog ya kisenge kama hii. Hyu jamaa tangu amesifiwa na manara anahisi ameguswa na mungu.. Fala kinomaaaa
ReplyDelete