February 17, 2019


KIKOSI cha Yanga kimeingia uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa mbwembwe huku wakipitia mlango ambao haukupaswa kuingia wachezaji kwa kukwepa Figisu za Simba.

Wakati Kikosi hicho kinaingia kimebadilisha mlango na kupitia malngo wa nyuma huku mashabiki wa Yanga na makomandoo wakitoa maneno ya kuonyesha wanakwepa hujuma.

3 COMMENTS:

  1. Na bado wakachezeshwa na kufungwa!

    ReplyDelete
  2. Yanga iliyoweka kambi ya muda mrefu huko Morogoro na kuwazuia wachezaji wake nyota kushiriki katika mechi kshaa ili kuwapumzisha kujiweka vizuri kusaidia kuikalisha kitako Simba na kujihakikishia ushindi, hayakusaidia kitu yote na mashabiki kujiondokea kichwa chini

    ReplyDelete
  3. Walikwepa Figisu Wakapoteza Pointi 3 Mhimu Na Ndoto Za Ubingwa Kuanza Kufifia Waelewe Kuwa Mpira Wa Sasa Ni Pesa Watafute Wachezaji Wenye Uwezo Si Akina Bobani Wamechoka Wasidie Nini Kwenye Timu Pia Waache Kuamini Ushirikina Nafikiri Kuna Kitu Tayari Wamejifunza Kupitia Matokeo Ya Jana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic