Beki wa Simba Erasto Nyoni amesema kufungwa kwa timu yake mabao 5-0 na Al Ahly katika mechi ya klabu bingwa Afrika haimanishi ni timu mbovu bali uwezo wa kutumia nafasi walizozipata timu ya Al Ahly na kuzitumia vizuri ndiyo kilikua chanzo cha timu hiyo kupoteza mchezo huo.
Nyoni amekua nje ya uwanja akiuuguza majeraha aliyoyapata katika mechi za Kombe la Mapinduzi mwanzoni mwa mwezi wa kwanza, na anatarajiwa kurudi uwanjani muda wowote baada ya kuonekana leo katika uwanja wa mazoezi ya timu japo hakua katika program ya mwalimu
0 COMMENTS:
Post a Comment