Wabunge mashabiki wa Yanga tawi la Bunge wamewataka mashabiki wanaomtukana kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera kuacha mara moja kabla mkondo wa sheria aujachukua nafasi yake
Pia wabunge hao wamewatupia lawama shirikisho la soka nchini kwa kuendesha ligi kwa mfumo wa upendeleo katika upangaji wa ratiba.
0 COMMENTS:
Post a Comment