March 15, 2019

LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu sita zitakuwa Uwanjani kutafuta pointi tatu muhimu kwenye viwanja tofauti.

Mwadui FC watakuwa kazini kumenyana na Stand United Uwanja wa Mwadui Complex, majira ya saa 10:00 jioni.

Tanzania Prisons watakuwa kazini leo kumenyana na JKT Tanzania Uwanja wa Sokoine, majira ya saa 10:00.

Azam FC watakuwa Chamazi wakimenyana na Singida United Uwanja wa Chamazi majira ya saa 1:00.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic