LIGI Kuu Bara leo inaendelea ambapo timu sita zitakuwa kazini kutafuta pointi tatu kwenye viwanja vitatu tofauti kama hivi:-
Mtibwa Sugar ataikaribisha Stand United, mchezo utapigwa Uwanja wa Manungu, Morogoro.
Kagera Sugar wataikaribisha Coastal Union Uwanja wa Kaitaba, Kagera.
Lipuli FC watamenyana na Mbao Uwanja wa Samora, Iringa.







0 COMMENTS:
Post a Comment