March 17, 2019

BAADA ya Beki kiraka wa KMC, Ally Ally' Mwarabu' kujifunga kwenye mchezo wake uliopita dhidi ya Yanga, bado ameendelea kuaminika na mwalimu raia wa Burundi, Ettiene Ndayiragije ambaye alitambua kuwa haikuwa nia yake, huyu hapa leo kwenye kikosi kitakachoivaa Ndanda Uwanja wa Nangwada sijaona.


Kikosi kitakachoanza
1. Juma Kaseja
2.Kelvin Kijiri
3. Salum Chuku
4. Aly Ally
5. Kalos Kirenge
6. Yusuph Ndikumana
7. Masoudy Abdallah
8. Ally Ally
9. Ally Msengi
10. Emmanuel Mvuyekure
11. Sadala Lipangile

Kikosi cha akiba

1. Abdul Juma
2. Sixtus Sabilo
3. Ally Ramadhan
4.Cliff Buyoya
5. Rayman Mgungila
6.Ismail Gambo,

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic