MECHI ZA YANGA ZILIZOSALIA KATIKA LIGI KUU MSIMU HUU
Ratiba ya Mechi Za Yanga Ligi Kuu Zilizobaki
16/03/2019
Lipuli vs Yanga -Iringa (IMECHEZWA)
03/04/2019
Ndanda vs Yanga -Mtwara
07/04/2019
Yanga Vs African Lyon -Taifa
11/04/ Yanga Vs Kagera Sugar -Taifa
17/04/31019
Mtibwa Sugar vs Yanga -Moro
29/04/2019
Azam vs Yanga -Taifa
05/05/2019
Yanga Vs Prisons -Taifa
09/05/2019
Biashara United vs Yanga -Musoma
13/05/2019
Ruvu shooting vs Yanga-Taifa
22/05/2019
Yanga Vs Mbeya City-Taifa
26/05/2019
Yanga Vs Azam- Taifa
kwa nini mechi ya yanga na azam raundi ya kwanza hadi leo imewekwa kiporo kama si kumtengenezea yanga mazingira magumu
ReplyDeleteMazingira gani makumu??? Kuna baadhi ya timu mnaziogopa???
DeleteSimba walilalamika sana kutaka mechi hii ya kiporo kati ya Azam na Yanga kuchezwa lakini iliendelea kupigiwa kalenda na Yanga walionekana kufurahia jambo hilo sasa Azam imenoga Yanga mnaingia mchecheto.
ReplyDeleteNan anaingia mchecheto wew,mech ya round ya kwanza ilibid ichezwe mapema acha wenge bro
ReplyDeletesimba haaaaaooooo
ReplyDeleteIt's simba
ReplyDelete