NAHODHA AS VITA AWATAKA YANGA WAJE KWA WINGI TAIFA LEO Nahodha Mkuu wa AS Vita ya Congo amewataka mashabiki ambao ni wapinzani wa timu ya Simba hapa nchini kwenda Uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu yao leo.
Hayo ni maelekezo ya Zahera
ReplyDeleteWatu wanamuogopa sana zahera sijui kwanini?
ReplyDeleteInaonekana simba ikifungwa leo Zahera atakua amechangia. Kwa mitazamo hiyo hatufiki kokote
ReplyDelete