LEO Makundi ya hatua ya Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepangwa ambapo tayari kila mmoja amemjua mbabe wake watakayekutana naye kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali.
Hatua ya robo fainali itaanza kutimua vumbi mapema mwezi Aprirl mwaka huu na makundi hayo yapo kama ifuatavyo:-
Ajax atamenyana na Juventus.
Liverpool dhidi ya FC Porto.
Totthenhum dhidi ya Manchester City.
Manchester United dhidi ya Barcelona.
Mshindi kati ya Liverpool na FC Porto atamenyana na mshindi kati ya Manchester United na Barcelona kwenye hatua ya nusu fainali huku mshindi kati ya Ajax na Juventus atamenyana na mshindi kati ya Totthenham na Manchester City.
YNWA
ReplyDeleteLIVERPOOL FIRE
ROAD TO FINAL
ushabiki huo.
DeleteLiverpool ni kama bondia aliyepewa mtoto halafu kipimo halisi unakiona kwa mbaaali.
ReplyDeletemwenyenyumba.WordPress.com