VIDEO: KOCHA TP MAZEMBE AONYESHA JEURI SIMBA BAADA YA MECHI Kocha wa TP Mazembe amesema kuwa kwasasa wanajipanga katika mechi ijayo dhidi ya Simba ambayo itachezwa Congo katika hatua hiyo ya Robo fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
0 COMMENTS:
Post a Comment