May 2, 2019


MENEJA wa Aresanal, Unai Emery amesema anahitaji kuweka historia mpya kwenye mchezo wake wa leo dhidi ya Valencia utakaopigwa uwanja wa Emirates.
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 usiku,ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Europa.
"Sasa tupo kwenye Ligi ya Europa, njia yetu ni kuona tunashinda mchezo wetu, tumejiweka tayari na vilevile itakuwa njia yetu kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya, tunajua haitakuwa kazi rahisi.
"Tunataka kuiendesha hii hatua ya nusu fainali vile tunavyotaka ni muhimu kwetu kufanya vizuri, tunahitaji sapoti na tunahitaji kutengeneza nafasi pamoja na historia mpya, ndani ya dakika 90 kwa kiwango kikubwa na matokeo mazuri kwetu," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic