May 23, 2019


Beki wa klabu ya Simba, Salim Mbonde ambaye amekaa nje ya uwanja kwa msimu mzima akiuguza majeraha ya goti huendwa akaachwa baada ya msimu huu kumalizika.

Beki huyo ambaye alisajiliwa kutoka Mtibwa Sugar anawezwa akaachwa kutokana na kutokuwa sehemu ya kikosi cha wekundu hao wa Msimbazi kwa takribani msimu mzima unaoelekea kumalizika.

Tayari kumeanza tetesi za beki huyo kurejea kunako timu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar ambayo alikuwa akiichezea kabla hajatua Simba.

Tayari Mbonde ameshaanza mazoezi mepesi ndani ya kikosi cha Simba lakini taarifa za ndani zinasema kuna asilimia chache za kuendelea kutoa huduma ndani ya timu hiyo.



1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic