May 23, 2019


Mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk ya ubelgiji na Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta amesema ataachana na klabu hiyo ya Ubelgiji.

Taarifa zinasema kuwa Samatta ataachana na klabu hiyo maana anawindwa na klabu kadhaa huko Uingereza.

Imeelezwa timu sita kutoka EPL zinahitaji huduma yake na mbili kutoka Spain.

Straika huyo mwenye balaa la aina yake amesema ndoto zake kubwa ni kuchezea soka barani Ulaya.

Tetesi za Samatta kwenda Uingereza na Spain zimeanza muda mrefu na kuna dalili kubwa za mchezaji huyo kuondoka hivi karibuni hapo ubelgiji.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic