EXCLUSIVE: MAKAMBO AREJEA YANGA AKIWA NA ZAHERA
Straika aliyekuwa akiichezea Yanga, Heritier Makambo na sasa Horoya AC ya Guinea, amerejea nchni akiwa na Kocha Mwinyi Zahera.
Wawili hao wapo Serena Hotel muda huu wakijumuika katika futari maalumu iliyoandaliwa na uongozi wa klabu hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment