May 23, 2019


Mabweni ya Shule ya Sekondari Wasichana Ashira, iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro, yanaungua kwa moto.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akieleza kuwa askari wa kikosi cha zimamoto wanaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

Tutaendelea kukujuza kwa kile kitakachokuwa kinaendelea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic