May 20, 2019


KUELEKEA kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Simba na Sevilla Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza Waamuzi watakaochezesha mchezo huo.

 Simba ambao ni washindi wa tatu kwenye michuano ya SportPesa Cup  watemenyana na Sevilla ya Hispania uwanja wa Taifa Mei 23,2019.

Muamuzi wa Katikati atakua Elly Sasii, muamuzi msaidizi namba moja Mohammed Mkono kutoka Tanga, muamuzi msaidizi namba mbili Soud Lila wa Dar es Salaam na muamuzi wa akiba atakuwa Jonesia Rukyaa kutoka Kagera.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic