May 20, 2019


KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Abdulmutik Haji amesema kuwa amejipanga leo kupata matokeo chanya mbele ya Biashara United mchezo utakaochezwa uwanja wa Karume, Mara.

Akizungumza na Saleh Jembe, Haji amesema kuwa safari yao mpaka Mara si ya kubahatisha bali ni hesabu za kufuata ushindi.

"Tumesafii kutoka mbali na safari ya kutoka Pwani mpaka huku ni kuzifuata pointi tatu hakuna kitu kingine," amesema Haji.

Ruvu imecheza michezo 36 ina pointi 42 na wapinzani wao Biashara United wamecheza michezo 35 wana pointi 40.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic