KOCHA wa timu ya Ndanda, Khalid Adam amesema kuwa wanahitaji ushindi leo mbele ya Simba kwenye mchezo utakaochezwa uwanja wa Uhuru.
Akizungumza muda mchache kabla ya kuanza mchezo, Juma amesema kuwa hesabu zao kubwa ni kumaliza ligi wakiwa ndani ya kumi bora hivyo kitakachowapa nafasi hiyo ni ushindi.
"Hesabu zetu ni kupata pointi tatu ambazo zitatufanya tumalize ligi tukiwa kwenye nafasi 10 bora sasa kama ambavyo wao wanatafuta ushindi nasi pia tunahitaji ushindi," amesema.

0 COMMENTS:
Post a Comment