May 20, 2019


Muigizaji wa vichekesho pamoja ambaye pia ni mwimbaji wa nyimbo za injli Emmanule Maarufu kama Masanja Mkandamizaji jana alikuwepo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kushihudia mechi ya Simba na Ndanda ambapo simba imeweza kuchukua pointi tatu muhimu.

Masanja amemuiga mchambuzi wa kimataifa ambaye anapendwa na watu wengi na yeye ni mmoja wa watu ambao wanamkubali Mwalimu Kashashs ambapo ameigizia uchambuzi wake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic