ERIC Bailly, beki wa Manchester United na timu ya Taifa ya Ivory Coast atakosa mechi mbili za Afcon kutokana na kuendelea kutibu jeraha lake la mguu alilopata hivi karibuni.
Bailly mwenye umri wa miaka 25 aliumia baaa ya kugongana na kiungo wa Chelsea,Mateo Kovacic kipindi cha pili, atakosa mechi mbili za mwanzo za michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza mwezi Juni nchini Misri.
Timu yake ya Ivory Coast imepangwa pamoja na timu kama Morocco, Afrika Kusini na Namibia.
Kwenye mchezo huo timu zote mbili ziligawana pointi moja baada ya kufungana bao 1-1.
0 COMMENTS:
Post a Comment