May 14, 2019

1 COMMENTS:

  1. Hii tasnia ya uandishi imevamiwa na watu wa hovyo Tanzania na kwa kiasi fulani taasisi au chombo kinachosimamia lugha ya kiswahili Tanzania hakuna chochote kinachofanya kusimamia matumizi mazuri na sahihi ya kiswahili. Kama chombo hiki kipo basi wahusika wanapaswa kuwajibika. "Sadaka" ni pale mtu anapojitolea kwa ajili ya kutekeleza jambo jema. Na ni kukinajisi kiswahili kusema kuwa baba aliemuua mwanae kuwa ametoa sadaka.? Ni kama vile muandishi anampongeza huyu baba muuaji kwa kitendo chake cha kinyama. Kama mtoa maoni wa kawaida kachapisha maneno hayo basi ni sawa lakini huwezi kuweka kichwa cha habari ya mada kwa matumizi mabovu ya kiswahili yenye kupotosha kama hii heading hapo juu. Na Kama ipo taasisi au kitengo ambacho kinasimamia kazi za Kiandishi na matumizi ya kiswahili sahihi katika kazi zao basi kilitakiwa kuwa vizuri zaidi hata kipesa kwani ingeweza kujiendesha kwa tozo za adhabu tu kutoka kwa taasisi za Kiandishi zisizozingatia matumizi sahihi ya kiswahili.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic