May 3, 2019

1 COMMENTS:

  1. SIMBA KWA UHAKIKA ANATAKIWA KUSHINDA MECHI ZAKE 6 KATI YA MICHEZO 9 LIYOBAKIA NAYO HAPO ATAKUWA BINGWA HATA KAMA YANGA ATASHINDA MICHEZO YAKE YOTE ILIYOBAKIA. ITAKUWA SIMBA WAMELOGWA KUSHINDWA KUSPATA USHINDI HUO WA UHAKIKA. MUHIMU KWA SIMBA ACHENI KUJILEGEZA SASA HATUA HII NI MBAYA ZAIDI, KAZENI BUTI PIGA KILA TIMU INAYOKUWA MBELE YENU. YANGA INAHITAJI POINTI MOJA TU KUCHUKUA NAFASI YA 2. AZAM ITASHIKA NAFASI YA 3. HUO NDIO MTIRIRIKO WA ITAKAVYOKUWA KWA MATARAJIO YA YANGA KUSHINDA MECHI ZAKE ZOTE 4 ZILIZOBAKIA KITU AMBACHO INAWEZEKANA KWA KUANGALIA FOWADI KALI INAYOJITUMA YA YANGA KWA SASA.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic