Unaambiwa mpaka hivi leo Amunike ameshindwa kuunda kikosi cha kwanza. Kwa maana halisi bila ya chenga Amunike hadi hii leo hajui hasa nini cha kufanya ndani ya Taifa stars. Usishangae kuona kila mchezaji ndani ya Taifa stars anacheza kivyake yaani timu haina Muunganiko.Mechi ya Taifa stars zidi ya senegali,stars walijituma na kucheza kwa nguvu nyingi zilizokosa na muongozo sahihi.Watu huwa wanazungumzia academy hasa pale Taifa stars inapofanya vibaya ila ukiangalia watu wanaosema hivyuo wakati mwengine kama vile hawaishi Tanzania au hawafuatilii mpira wa Tanzania na wachezaji kwani kizazi hiki cha wachezaji wa timu ya Taifa stars ya sasa wengi ya Wachezaji wake wamepitia hatua mbali mbali za awali ya mafunzo ya mpira wa miguu kutoka kwa walimu kadhaa wenye ujuzi.Kuanzia mbrazili Maximo hadi mdenimark Poluseni,hadi akina Mkwasa na bila ya kusahau licha ya Unyonge wa vilabu vyetu kifedha mfano simba na Yanga achilia mbali Azam fc vilikuwa vikijitahidi kuleta walimu kadhaa wenye uwezo mzuri wa kimataifa katika ufundishaji mpira. Ile tumu ya Taifa ya Uganda unayoiona leo alieka misingi imara yakuwa Uganda unayoiona leo ni kocha aliekuwa Yanga.Simba kabla ya kocha huyu walienae sasa walikuwa na kocha aliekwisha beba klabu bingwa Africa na Cameroon national team. Azam wana academy nzuri tu na hawakuanza leo na bila kusahau Azam wamekuwa wakiajiri makocha wazuri. Sasa wengi wa wachezaji wa Taifa stars wanatoka katika timu hizi nilizozitaja hapo juu kwa maana halisi na ndio ukweli ulivyo Taifa stars haina umasikini wa wachezaji kwa wakati huu. Wachezaji ni wazuri tena sana tu bali tatizo na adui mkubwa wa Taifa stars ni TFF.Kwanini TFF? Kwa sababu uongozi wa TFF umekuwa kamwe si wa kusikiliza ushauri kutoka kwa wadau wa soka hata watu wa kawaida.Nadhani hata raisi wake anadhani ni mkubwa zaidi ya Magufuli.TFF ndio wenye maamuzi ya mwisho ndani ya Taifa stars.Wakati wakitafuta kocha kwa ajili ya Taifa stars watu na wadau wa soka waliishauri sana kuhusu Taifa stars kutafuta Mwalimu atakaekuwa na uzoefu wa kutosha katika kufundisha na kuziongoza timu za taifa ikiwezekana kumtafuta kocha angalau alievuka hatua ya makundi ya Afcon. Na kama ikishindikana hivyo basi watafute kocha mwenye rekodi Nzuri atakae tuwekea utambulisho wa soka letu kiamtaifa .Na kama vile haitoshi wadau walipendekeza mpaka majina kadhaa ya makocha ambao wangeweza kusaidia nchi yetu kuondokana na unyonge wa timu yake ya Taifa kuwa kichwa cha muenda wazimu lakini cha kushangaza TFF wakaenda kutafuta kocha ambae hajawi kufundisha timu ya Taifa. Hana uzoefu wowote wa kuiongoza timu ya Taifa ya wakubwa kwenye mashindano yoyote makubwa.Halafu wanakuja kujipiga kifua kuwa wameleta bonge la kocha? Na kwa bahati mbaya kuna watu wakawapigia makofi.kazi ya kufundisha mpira inakwenda kwa takwimu na sio ubabaishaji na soka sasa ni biashara yenye ushindani wa ajabu sio kitu cha kufanyia majaribio bali ni kitu cha kukifanyia kazi kutoka kwa best people you can have. Kwa bahati mbaya sana ali ya soka letu Tanzania lipo sawa na treni iliokosa kichwa kutokana na kukosekana na architecture au mwalimu mwenye ujuzi wa kutosha na dira ya kutuelekeza kwenye misingi sahihi ya mpira. Yeye ndie atakae tushauri kuhusu academy na vitu vyengine. Kwanini tunakwenda kuchukua kocha kama Amunike? Kucheza mpira na kufundisha mpira ni vitu viwili tofauti.Taifa stars inahitaji kocha wa maana hata kama watanzania wataambiwa wachangie gharama za kocha mazali anafanya kazi yake ipasavyo kwa jinsi watanzania wanavyopenda mpira na timu yao ya taifa hawatasita kufanya hivyo. Ukiangalia rekodi za makocha wote wa Afrcon kule Misri kocha wa Taifa stars ndie wa chini kabisa.Na kwanini wahusika wawe wanafanya mzaha kiasi hicho?
Amunike hatufai aondoke anatupotezea muda hakuna haja yakuwa nakocha wa kigeni asiyejua wachezaji wake mpaka sasa kwenye kufuzu ni Amunike huyuhuyu aliyetufanya tuonewe huruma na jirani zetu Uganda nasikwambatuliwafungakweli Waganda hakuna.Wakati tulitakiwa tufuzu mapema tu mechi za kwanza lakini kama kawaida yake akawa anajaribisha wachezaji siku ya mechi muhimu ya kufuzu matokeo yake tukafungwa na cape verde mara kudroo na lesotho Huu ni upumbavu uliozidi kipimo !! achaniishie kwani nazidi kupata hasira zid ya huyu kiunbe Amunike
Watanzania imetusikitisha. Timu yetu ina majina makubwa ya wachezaji, Samatta, Bocco, Msuva, hawakupiga hata sputi moja la uhakika golini pale. Samatta na Bocco walikuwa wanalazimika wakati mwingine kurudi nyuma kusaidia beki. Tulielemewa. Kiungo ilikufa. Hivi tunapata faida gani kung'ang'ania Kocha ambaye hana msaada kwa timu? Au ni hiyo posho yake mnakula naye? Taifa linaendelea kuteseka na huyu AMUNIKE
AMUNIKE HATUFAIAONDOKE ANATUPOTEZEA MUDA HAKUNA HAJA YA KUWA NA KOCHA WAKIGENI ASIYEJUA WACHEZAJI WAKE MUDA WOTE HUO. KWENYE KUFUZU MPKA TUKAONEWA HURUMA NA JIRANI ZETU WAGANDA WAKATITULITKIWA TUFUZU MAPEMA TU KWENYE MECHI ZA CAPE VERDE NA LESOTHO LAKINI AMUNIKE AKAFANYA UJINGAWAKE WA KUJARIBISHA WACHEZAJI SIKU YA MECHI MUHIMU NA KUWAACHA WACHEZAJIWENYE UWEZO KWAJEURI NA KIBURI CHA KUWA YEYE NI KOCHA WAKIMATAIFA. HUKU WATANZANIA WAKISUBIRI MATOKEO YA KUFUZU KWA PRESSUERE KUBWA.ACHA NIISHIE HAPA NAZIDI KUPATA HASIRA ZIDI YA HUYU KIUNBE amunike
SINA LA KUSEMA HUYU KOCHA HUYU KAZI YAKE KUFUKUZA WACHEZAJI WAZURI KILA KUKICHA. HAMTAKI AJIB, MKUDE, KICHUYA, ERASTO NYONI, TSHABALALA, DILUNGA, LIPO TATIZO
Unajua watu wamewavunja moyo wachezaji wa stars mimi binafsi sijazipenda zile kauli za wabunge sio za kiuanamichezo...mechi bado zipo....vijana/askari wetu wa Taifa wako katikati ya vita na mapambano haipaswi kuwakatisha tamaa kwa lawama....na wanazisoma hizi lawama kwenye mitandao
Unaambiwa mpaka hivi leo Amunike ameshindwa kuunda kikosi cha kwanza. Kwa maana halisi bila ya chenga Amunike hadi hii leo hajui hasa nini cha kufanya ndani ya Taifa stars. Usishangae kuona kila mchezaji ndani ya Taifa stars anacheza kivyake yaani timu haina Muunganiko.Mechi ya Taifa stars zidi ya senegali,stars walijituma na kucheza kwa nguvu nyingi zilizokosa na muongozo sahihi.Watu huwa wanazungumzia academy hasa pale Taifa stars inapofanya vibaya ila ukiangalia watu wanaosema hivyuo wakati mwengine kama vile hawaishi Tanzania au hawafuatilii mpira wa Tanzania na wachezaji kwani kizazi hiki cha wachezaji wa timu ya Taifa stars ya sasa wengi ya Wachezaji wake wamepitia hatua mbali mbali za awali ya mafunzo ya mpira wa miguu kutoka kwa walimu kadhaa wenye ujuzi.Kuanzia mbrazili Maximo hadi mdenimark Poluseni,hadi akina Mkwasa na bila ya kusahau licha ya Unyonge wa vilabu vyetu kifedha mfano simba na Yanga achilia mbali Azam fc vilikuwa vikijitahidi kuleta walimu kadhaa wenye uwezo mzuri wa kimataifa katika ufundishaji mpira. Ile tumu ya Taifa ya Uganda unayoiona leo alieka misingi imara yakuwa Uganda unayoiona leo ni kocha aliekuwa Yanga.Simba kabla ya kocha huyu walienae sasa walikuwa na kocha aliekwisha beba klabu bingwa Africa na Cameroon national team. Azam wana academy nzuri tu na hawakuanza leo na bila kusahau Azam wamekuwa wakiajiri makocha wazuri. Sasa wengi wa wachezaji wa Taifa stars wanatoka katika timu hizi nilizozitaja hapo juu kwa maana halisi na ndio ukweli ulivyo Taifa stars haina umasikini wa wachezaji kwa wakati huu. Wachezaji ni wazuri tena sana tu bali tatizo na adui mkubwa wa Taifa stars ni TFF.Kwanini TFF? Kwa sababu uongozi wa TFF umekuwa kamwe si wa kusikiliza ushauri kutoka kwa wadau wa soka hata watu wa kawaida.Nadhani hata raisi wake anadhani ni mkubwa zaidi ya Magufuli.TFF ndio wenye maamuzi ya mwisho ndani ya Taifa stars.Wakati wakitafuta kocha kwa ajili ya Taifa stars watu na wadau wa soka waliishauri sana kuhusu Taifa stars kutafuta Mwalimu atakaekuwa na uzoefu wa kutosha katika kufundisha na kuziongoza timu za taifa ikiwezekana kumtafuta kocha angalau alievuka hatua ya makundi ya Afcon. Na kama ikishindikana hivyo basi watafute kocha mwenye rekodi Nzuri atakae tuwekea utambulisho wa soka letu kiamtaifa .Na kama vile haitoshi wadau walipendekeza mpaka majina kadhaa ya makocha ambao wangeweza kusaidia nchi yetu kuondokana na unyonge wa timu yake ya Taifa kuwa kichwa cha muenda wazimu lakini cha kushangaza TFF wakaenda kutafuta kocha ambae hajawi kufundisha timu ya Taifa. Hana uzoefu wowote wa kuiongoza timu ya Taifa ya wakubwa kwenye mashindano yoyote makubwa.Halafu wanakuja kujipiga kifua kuwa wameleta bonge la kocha? Na kwa bahati mbaya kuna watu wakawapigia makofi.kazi ya kufundisha mpira inakwenda kwa takwimu na sio ubabaishaji na soka sasa ni biashara yenye ushindani wa ajabu sio kitu cha kufanyia majaribio bali ni kitu cha kukifanyia kazi kutoka kwa best people you can have.
ReplyDeleteKwa bahati mbaya sana ali ya soka letu Tanzania lipo sawa na treni iliokosa kichwa kutokana na kukosekana na architecture au mwalimu mwenye ujuzi wa kutosha na dira ya kutuelekeza kwenye misingi sahihi ya mpira. Yeye ndie atakae tushauri kuhusu academy na vitu vyengine. Kwanini tunakwenda kuchukua kocha kama Amunike? Kucheza mpira na kufundisha mpira ni vitu viwili tofauti.Taifa stars inahitaji kocha wa maana hata kama watanzania wataambiwa wachangie gharama za kocha mazali anafanya kazi yake ipasavyo kwa jinsi watanzania wanavyopenda mpira na timu yao ya taifa hawatasita kufanya hivyo. Ukiangalia rekodi za makocha wote wa Afrcon kule Misri kocha wa Taifa stars ndie wa chini kabisa.Na kwanini wahusika wawe wanafanya mzaha kiasi hicho?
Amunike hatufai aondoke anatupotezea muda hakuna haja yakuwa nakocha wa kigeni asiyejua wachezaji wake mpaka sasa kwenye kufuzu ni Amunike huyuhuyu aliyetufanya tuonewe huruma na jirani zetu Uganda nasikwambatuliwafungakweli Waganda hakuna.Wakati tulitakiwa tufuzu mapema tu mechi za kwanza lakini kama kawaida yake akawa anajaribisha wachezaji siku ya mechi muhimu ya kufuzu matokeo yake tukafungwa na cape verde mara kudroo na lesotho Huu ni upumbavu uliozidi kipimo !! achaniishie kwani nazidi kupata hasira zid ya huyu kiunbe Amunike
ReplyDeleteWatanzania imetusikitisha. Timu yetu ina majina makubwa ya wachezaji, Samatta, Bocco, Msuva, hawakupiga hata sputi moja la uhakika golini pale. Samatta na Bocco walikuwa wanalazimika wakati mwingine kurudi nyuma kusaidia beki. Tulielemewa. Kiungo ilikufa. Hivi tunapata faida gani kung'ang'ania Kocha ambaye hana msaada kwa timu? Au ni hiyo posho yake mnakula naye? Taifa linaendelea kuteseka na huyu AMUNIKE
ReplyDeleteAMUNIKE HATUFAIAONDOKE ANATUPOTEZEA MUDA HAKUNA HAJA YA KUWA NA KOCHA WAKIGENI ASIYEJUA WACHEZAJI WAKE MUDA WOTE HUO. KWENYE KUFUZU MPKA TUKAONEWA HURUMA NA JIRANI ZETU WAGANDA WAKATITULITKIWA TUFUZU MAPEMA TU KWENYE MECHI ZA CAPE VERDE NA LESOTHO LAKINI AMUNIKE AKAFANYA UJINGAWAKE WA KUJARIBISHA WACHEZAJI SIKU YA MECHI MUHIMU NA KUWAACHA WACHEZAJIWENYE UWEZO KWAJEURI NA KIBURI CHA KUWA YEYE NI KOCHA WAKIMATAIFA. HUKU WATANZANIA WAKISUBIRI MATOKEO YA KUFUZU KWA PRESSUERE KUBWA.ACHA NIISHIE HAPA NAZIDI KUPATA HASIRA ZIDI YA HUYU KIUNBE amunike
ReplyDeleteTFF ICHAGUE AIDHA AMUNIKE AONDOKE AU WAO WAONDOKE. TUMECHOKA SASA.
ReplyDeleteSINA LA KUSEMA HUYU KOCHA HUYU KAZI YAKE KUFUKUZA WACHEZAJI WAZURI KILA KUKICHA. HAMTAKI AJIB, MKUDE, KICHUYA, ERASTO NYONI, TSHABALALA, DILUNGA, LIPO TATIZO
ReplyDeleteUnajua watu wamewavunja moyo wachezaji wa stars mimi binafsi sijazipenda zile kauli za wabunge sio za kiuanamichezo...mechi bado zipo....vijana/askari wetu wa Taifa wako katikati ya vita na mapambano haipaswi kuwakatisha tamaa kwa lawama....na wanazisoma hizi lawama kwenye mitandao
ReplyDelete