July 21, 2019


HARRY Kane, mshambuliaji wa kikosi cha Tottenham leo amefunga moja ya bao bora wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 3-2 kwenye mchezo dhidi ya mabingwa wa Italia Juventus uwanja wa Taifa wa Singapore.
 Bao lake limefungwa baada ya nyota wa Juventus, Cristian Ronaldo kuifanya timu yake kuwa kifua mbele kwa mabao 2-1. mchezo wa maandalizi kwa ajili msimu ujao.
Meneja wa Spurs, Mauricio Pochettino amesema kuwa mshambuliaji huyo amemshangaza kwa kufunga moja ya bao bora hasa kwenye maandalizi ya msimu ujao.
"Amefunga moja ya bao bora ambalo nilikuwa sijatarajia kuona akifanya hivyo hasa kwenye maandalizi ya msimu ujao ni mwanzo mzuri.," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic