July 2, 2019

AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na timu hiyo.

Nyota huyo amejiunga na kikosi hicho akitokea Crystal Palace na ametambulishwa rasmi kuitumikia timu hiyo msimu ujao.

"Nimefurahi kutua Manchester United, wakati nikiwa kijana nilikuwa natamani sana siku moja nitue hapa na kocha Solskajaer ni mmoja wa watu waliosababisha mimi nikaja hapa," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic