SHKODRAN Mustafi, beki wa Arsenal amesema kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.
Mustafi amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho na kupambania namba ndani ya kikosi cha kwanza.
Licha ya kuwa ni miongoni mwa wachezaji wanaochukiwa ndani ya kikosi cha Arsenal kutokana na makosa yake mengi uwanjani.
Arsenal inakabiliwa na tatizo la beki kwani msimu ulipita iliruhusu kufungwa jumla ya mabao 51 kwenye mechi za Ligi Kuu England.
0 COMMENTS:
Post a Comment