SIMBA wameamua kujiweka sawa msimu huu ambapo baada ya kukwea pipa na kuweka kambi Afrika Kusini tayari wametangaza kucheza mechi tatu za kirafiki ili kujenga kikosi upya.
Ofisa Mtedaji wa Simba, Crenscetius Magori amesema kuwa timu imepanga kucheza mechi tatu za kirafiki kabla ya kurejea nchini Tanzania.
"Timu ipo kambini na inaendelea na mazoezi lakini kwenye program yetu tunatarajia kucheza michezo mitatu ya kirafiki kabla ya kurejea nyumbani na mchezo wetu wa kwanza tutacheza Julai 23"," amesema.
:
0 COMMENTS:
Post a Comment