July 3, 2019


IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.

Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita.

Ajibu alijiunga na Yanga msimu wa 2017-18 akitokea Simba na amecheza misimu miwili bila kutwaa kombe akiwa na Yanga sasa amerejea rasmi kwenye klabu yake ya zamani ya Simba.

19 COMMENTS:

  1. Msimu huu Simba haitachukua Ubingwa wa Ligi kuu. Maana Ajibu hana bahati na Ubingwa wa Ligi kuu.

    ReplyDelete
  2. Tumemleta nae afaidi keki ya mo. Akiwa mvivu hawezi kupata namba pale maana vifaa ni vingi sana msimbazi.

    ReplyDelete
  3. Unapokewa nyumbani kwako Kwa mikono miwili

    ReplyDelete
  4. MAJANGA MWANA MPOTEZI ANAKWENA PISHANA NA MAKOMBE. IVI ANACHA KWENDA MAZEMBE KLABU KLUBWA AFRIKA NA DUNINAI INAJULIKANA INA HADI KUBWA INA KILA KITU HAIBAHATISHI INASHIRKI KILA MWAKA LIGI ZA CAF AAAAH AJIBU WW MASKINI UNAPOTEA NJIA UNAKOSA FURSA YA KUTOKA NJE HAKIKA AKILI NI NYWELE ILA ZA JIBU NAHISI ZIMEOTA MVI AU ZINAKATIKA

    ReplyDelete
  5. Wewe ndio nani kuingilia uamuzi wake.Amechagua timu ya moyo wake .Pesa sio kila kitu

    ReplyDelete
  6. Simba ni klabu kubwa vile vile.kubwa kuliko hata Mazembe ila watanzania tunashindwa kujitambua kuwa simba na Yanga ni kubwa kuliko TP Mazembe. Mabadiliko yanayoendelea ya kiuendeshaji ndani ya simba yatathibitisha hayo muda si mrefu. Ajibu yanini kwenda kongo na kupigwa pini zaidi ya miaka mitano ya mktaba wakati kama kweli ataamua anataka kwenda kucheza ulaya basi kwa simba msimu wake ni mmoja tu ataondoka.

    ReplyDelete
  7. Kama pesa sio kila kitu Basi muulize samatta

    ReplyDelete
  8. Huyo anayemlaumu Ajibu kutojiunga na Mazembe yanamuuma Sana Kumuona kasaini Simba. Ajibu kaikataa Yanga haitaki na kaamuwa kurejea kwenye hela ya hakika na kwenye maslaha nae nyie mnamtakia nini. Kwa Mnyama kumenoga kuliko Huko Mazembe huku Kwa Mnyama atakufungeni kukuonesheni ari kwakuwa atayapata mlioshindwa nyinyi kumpa

    ReplyDelete
  9. Badala yahizi timu kuimarisha vijana zinaishi kwa mihemko ya mashabiki kwa kusajili kufurahisha mashabiki bila kuwekeza kwenye vijana matokeo yake timu ya Taifa inaboronga

    ReplyDelete
  10. Pesa sio kila kitu kwa Ajibu. Kwa Samatta ana maamuzi yake sio lazima yawe sawa.

    ReplyDelete
  11. Ajibu anaonesha kama anasema "jee Yanga mnaniona na huku ndiko ninakokutaka na kukupenda"

    ReplyDelete
  12. Acha umbwigira wewe unataka timu zisajili vijana halafu klabu bingwa unakwenda kucheza na TP Mazembe, Ally ahli, Experence na wengine kibao hivi watu huwa mnafikiria au ni mihemuko tu ndio inawasukuma kufiria hivi?? klabu bingwa umeona kuna vijana wanacheza kule??? Ok, tuludi kwa Kenedy beki aliye sajiliwa na Simba kutoka Singida utd si watu wengi waliicheka Simba imesajili mchezaji gani??? huenda hata wewe ulikuwa miongoni mwao uliocheka... ya kumsajili Ajibu eti timu zisajili vijana, vijana wana ligi zao za under 15, 17 na under 20

    ReplyDelete
  13. Usajili wenye mihemko na utashi wa mashabiki kuliko mahitaji ya kiufundi ya Kocha Aussems...sio kila mchezaji atafiti mfumo wa mwalimu.....hata kama tunampenda kiasi gani

    ReplyDelete
  14. Karibu lakini acha kiburi ndugu, kuwa muungwana na penda kazi yako.

    ReplyDelete
  15. Timu ya Taifa inatolewa AFCON....Turudi sasa kwenye "vumbi letu na usajili wa magazeti na mihemko ya ushabiki wa timu za Kariakoo zinazodumaza soka letu"

    ReplyDelete
  16. Kapotea ndivyo navyoweza kusema. Ana uwezo mzuri lakini makocha wrote waliomfundisha wanasema hana bidii katika mazoezi. Kwa yanga sidhani kama ameacha pengo badala yake mfumo wa kocha zahera kila MTU atashangaaa. Labda nachoweza sema in kwamba amepotea kwa kwenda simba, kwanza no ngumu ukiondoka yanga kwenda simba
    ukacheza Mpira vizuri, wengi baada ya msimu mmoja wanapotea, mfano Mohammed banka, kiemba, rajabu mwinyi, niyonzima, hamisi kiiza,

    ReplyDelete
  17. Niulize swali, no mapendekezo ya kocha eti eeh!! Hata kotei in mapendekezo ya kocha kuachwa? Haahahaaaaaaa...... Simba bwana

    ReplyDelete
  18. Hawa vijana wamedanganywa na washauri wabovu walionao kwa kudhani kuwa wana viwango vya juu ama kutafuta pesa nyingi kwa ajili ya maisha lakini wanashindwa kujua kuna siku utafilisika na pesa uliyopewa itaisha na itabidi utafute nyingine wakati huo kiwango kimeshuka hamna mtu aliye tayari kukusajili....na kwakuwa umri ni mdogo hata nje hawawezi kukuchukua ikiwa nidhamu yako n.a. kiwango chako kimeshuka.....pesa ni muhimu lakini sio kila kitu....wachezaji wetu inatakiwa wapewe somo la kujitambua ama sivyo wataishia humu humu kukata mitaa ya kariakoo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic