July 15, 2019


Etienne Ndayiragije atangaza kikosi kipya kwa ajili ya mashindano ya CHAN


1. Aish Manula (Simba)

2. Juma Kaseja (KMC)

3. Metacha Mnata (Yanga)

4. Paul Godfrey (Yanga)

5. Boniface Maganga (KMC)

6. Gadiel Michael (Simba)

7. Paul Ngalema (Namungo FC)

8. David Mwantika (Azam FC)

9. Idd Mobi (Polisi Tanzania)

10. Kelvin Yondan (Yanga)

11. Erasto Nyoni (Simba)

12. Jonas Mkude (Simba)

13.Abdulazi Makame (Yanga)

14. Mudhathir Yahya (Azam)

15. Ibrahim Ajib (Simba)

16. Salim Aiyee (KMC)

17. Saloum Abobakar (Azam FC)

18. Masoud Abdallah (Azam FC)

19. John Bocco (Simba)

20. Ayoub Lyanga (Coastal Union)

21. Kelvin John (U 17)

22. Fei Toto (Yanga)

23. Frank Domayo (Azam FC)

24. Hassan Dilunga (Simba)

25. Iddy Naldo (Azam FC)

26. Shaban Idd Chilunda (Azam FC)

8 COMMENTS:

  1. Duu haya sasa kazi kazi

    ReplyDelete
  2. Ngoja tuone maamini atafanikiwa

    ReplyDelete
  3. Huyu kocha atafanikiwa na ataleta mafanikio katika kandanda ya Tanzania.Komera chane chane wa mugabo we wachu

    ReplyDelete
  4. Uteuzi wa Ndayiragije na wasaidizi wake ni ushindi kwa mpira wa Tanzania. Ni kama TFF wametubu vile. Kaseja alihiatajika hata Afcon ndani ya Taifa stars kama kocha mchezaji wa makipa msaidizi kutokana na uzoefu wake.

    ReplyDelete
  5. Jamaa anajua nini cha kulifanyia taifa hili, kikosi kinaendana na cc mashabiki wa stars tunavyotaka.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic