Nafikiri hata wewe unashangaa kwa nini TP Mazembe wanamnunua Singano ambaye kusema kweli hapa nyumbani mchezaji huyo anaonekana uwezo wake umepungua sana.Wachezaji wanaweza kuondoka kwenye timu kwa sababu nyingi ikiwepo kutoelewana na kocha kama ilivyomtokea kipa Kakolanya na hii iko ktk vilabu vya soka duniani kote.Ni sawa na issue ya Okwi ambaye bado yuko kwenye soko la Africa na Uarabun.Sisi tunaweza kumwona mchezaji hana uwezo lkn kocha akawa anamuhitaji kufuatana na maswala ya ufundi lkn mashabiki wakawa wana shangaa kwa nini ananunuliwa mchezaji huyu na anaachwa yule.Ndio maajabu ya makocha na mashabiki wa soka.
Tatizo nini wakati hata kina Ronaldo,Messi, Okwi tumewaona wanawika kwenye soka tokea mwaka 2010.Mambo yote ni kusubiria aonyeshe uwanjani ndio tutamhukumu kama ni galasa au sio galasa.Mfano mwingine nawashangaa watu kuhukumu mchezaji kwa umri lkn ukimchukulia kipa Juma Kaseja namwona bado technicaly ni kipa bora hapa Africa Mashariki na pengine tatizo ni yeye mwenyewe Kaseja kutojiweka ktk soko la nje kama kipa Denis Onyango wa Uganda ambaye kiumri anamzidi Kaseja.Tusiwe wepesi wa kumhukumu mchezaji kwa kigezo cha umri.
Tuache kudanganyana,Mazembe watoe kifaa kwa simba halafu wao wahangaike kumnunua Singano!? Hizi ni ndoto za mchana
ReplyDeleteNafikiri hata wewe unashangaa kwa nini TP Mazembe wanamnunua Singano ambaye kusema kweli hapa nyumbani mchezaji huyo anaonekana uwezo wake umepungua sana.Wachezaji wanaweza kuondoka kwenye timu kwa sababu nyingi ikiwepo kutoelewana na kocha kama ilivyomtokea kipa Kakolanya na hii iko ktk vilabu vya soka duniani kote.Ni sawa na issue ya Okwi ambaye bado yuko kwenye soko la Africa na Uarabun.Sisi tunaweza kumwona mchezaji hana uwezo lkn kocha akawa anamuhitaji kufuatana na maswala ya ufundi lkn mashabiki wakawa wana shangaa kwa nini ananunuliwa mchezaji huyu na anaachwa yule.Ndio maajabu ya makocha na mashabiki wa soka.
DeleteClip ya 2012 unatuwekea leo
ReplyDeleteTatizo nini wakati hata kina Ronaldo,Messi, Okwi tumewaona wanawika kwenye soka tokea mwaka 2010.Mambo yote ni kusubiria aonyeshe uwanjani ndio tutamhukumu kama ni galasa au sio galasa.Mfano mwingine nawashangaa watu kuhukumu mchezaji kwa umri lkn ukimchukulia kipa Juma Kaseja namwona bado technicaly ni kipa bora hapa Africa Mashariki na pengine tatizo ni yeye mwenyewe Kaseja kutojiweka ktk soko la nje kama kipa Denis Onyango wa Uganda ambaye kiumri anamzidi Kaseja.Tusiwe wepesi wa kumhukumu mchezaji kwa kigezo cha umri.
Delete