July 20, 2019




o   YASSIR Biance, nahodha wa timu ya Taifa ya Sudan Kusini amesajiliwa na timu ya Biashara United ya Mara ikiwa ni mwendelezo wa kujiimarisha kwa timu hiyo kuelekea msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2019/2020. 
.
Katibu wa Kamati ya Usajili wa Biashara United, Idrisa Majamba amesema usajili huo umekuja katika muda sahihi hasa katika kipindi hiki ambacho uongozi wa timu hiyo upo katika mkakati imara wa kujenga kikosi hicho.

Mchezaji huyo ambaye kwasasa amerejea kwenye kambi ya timu ya Taifa nchini Uganda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic