July 16, 2019


KIUNGO mshambuliaji  wa Yanga, Mrisho Ngassa amesema kuwa anafuraha kuona anaendeleza makali yake ndani ya kikosi hicho na anaamini watapambana kiukweli msimu ujao.

Ngassa jana alifunga hat trick kwenye ushindi wa mabao 10-1 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzanite FC uliochezwa uwanja wa Highlands Parks, Moro.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ngassa amesema kuwa ni mwanzo mzuri kwake na timu pia kwa ajili ya msimu ujao.

"Ni mwanzo mzuri kwetu na timu kiujumla, imani yetu ni kuendela kupambana kwa ajili ya msimu ujao," amesema Ngassa.

4 COMMENTS:

  1. TAFADHALI TAFUTENI VIFAA VYA MAZOEZI VILIVYO NA UBORA WA HALI YA JUU NA VYA KISASA KWA TIMU YENYE HADHI KAMA YA YANGA KUWA NA VIFAA DUNI KWA MAZOEZI YA VIUNGO NA KIMWILI NA KUCHEZEA MPIRA SIO JAMBO LINALOFURAHISHA....VIFAA HIVI VINAPATIKANA NJE YA NCHI KWA GHARAMA NAFUU KABISA...(MAZOEZI YA SPEED, PASS ACCURACY, FREE KICKS, KONA NAKADHALIKA)

    NIMEJITAHIDI SANA NA KWA MOYO WA KIZALENDO KUTOA USHAURI MWINGI SIJUI KAMA MNAFANYIA KAZI?

    AHSANTE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushauri mzuri sana labda bado tuna tatizo la cash.

      Delete
  2. Ngasa hiyo ni timu ya chini ya mikorosho na tunataka muwafanyie Mazembe hivohivo kwasababu siku nzuri huonekana tokea asubuhi

    ReplyDelete
    Replies
    1. TP Mazembe iliyogungwa na Azam au TP Mazembe ile yenyewe iliyo na wachezaji wake Afcon?? Kiushauri Yanga mnaongoza mpira wa kwenye mitandao hebu acheni na mbadilike.. kipimo cha kwanza itakuwa itakuwa awamu ya kwanza ligi ya mabingwa august 10

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic