July 19, 2019


SIMBA hawataki utani msimu wa 2018-19, wakati Meddie Kagere, Francis Kahata, Deo Kanda na Sharaf Shiboub wakinogesha kambi leo tena dozi imeendelea kama kawaida.

Simba kambini Afrika Kusini inapiga dozi ya mara mbili kwa siku asubuhi na jioni ili kujiweka fiti zaidi.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa hesabu kubwa ni kuimarisha kikosi kiwe na ushindani kitaifa na kimataifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic