WACHEZAJI WATATU WAONDOKA SIMBA
UONGOZI wa Namungo C upo katika mikakati ya mwisho kuhakikisha inawapata wachezaji watatu kwa mkopo kutoka katika klabu ya Simba.
Taarifa za ndani ambazo Spoti Xtra imepata ni kwamba Mwenyekiti wa klabu ya Namungo, Hassan Zidadu ametuma maombi ya kupata wachezaji watatu ambao wanamudu kucheza sehemu ya
kiungo na ulinzi.
“Namungo wameomba wachezaji watatu kutoka simba kwa mkopo ambao wanamudu kucheza kama kiungo na nafasi ya beki,” kilisema chanzo hicho.
Miongoni mwa wachezaji ambao Spoti Xtra linajua kuwa Namungo wamewaomba kutoka simba ni Mohammed Ibrahim ‘Mo
0 COMMENTS:
Post a Comment