Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.
Magori amesema wachezaji hao tayari wamemaliza kandarasi na Simba na wamewaambia kwamba hawatawapa kandarasi mpya mpaka wakati mwingine.
Nyota ambao tayari wamemaliza mkataba ndani ya Simba ni pamoja na Haruna Niyonzima ambaye kwa sasa amepata timu mpya Rwanda, Emmanuel Okwi, Zana Coulibaly, James Kotei ambaye amejiunga na timu ya Kaizer Chief,Salim Mbonde.
0 COMMENTS:
Post a Comment