JACKSON
Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa kikosi kinaelekeza nguvu zake kwenye michezo ya ligi kuu ambayo inaanza leo.
Jana KMC ilipoteza mchezo wa marudio na AS Kigali uwanja wa Taifa baada ya kukubali kufungwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa Kimataifa wa Kombe a Shirikisho.
Akizungumza na Saleh Jembe, Mayanja amesema kuwa kwa sasa hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kujiandaa na ligi.
"Tumeshindwa kutumia nafasi zetu na wenzetu wametushinda hakuna namna nyingine ya kufanya kwa sasa zaidi ya kujipanga na ligi inayoanza leo," amesema.
0 COMMENTS:
Post a Comment