August 16, 2019


Mshambuliaji kutoka Elias Maguri amejiunga na klabu ya Nakambala Leopards FC inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia.

Maguri amejiunga na Nakambala kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya KMC ya Dar.

Ikumbukwe Maguri aliwahi kuichezea klabu ya Simba miaka kadhaa nyuma lakini baadaye aliachwa na kutimkia uarabuni na baadaye akarejea Tanzania kuichezea KMC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic