August 16, 2019


KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa ngao ya jamii kati ya Simba na Azam FC uwanja wa Taifa kikosi cha Simba kitawakosa nyota wake watatu wa kikosi cha kwanza.

Wachezaji hao ni mlinda mlango Aishi Manula, kiungo Ibrrahim Ajib na mbrazil Wilker da Silver ambao wanasumbuliwa na majeruhi.

Mchezo huo unawakutanisha mabingwa wawili ambapo Simba ni bingwa wa Ligi Kuu Bara na Azam FC ni bingwa wa kombe a Shirikisho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic