Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka kwa kuipongeza Yanga baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Township Rollers.
Yanga imepata ushindi wa bao 1-0 na kufanya izidi kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya 1-1.
Hiki hapa alichokiandika Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Ndo mpira
ReplyDeleteNamuunga mkono manara.mm nawaombea dua washinde leo..
ReplyDeleteHongera sana Yanga. Kwa ushindi huo sasa muanze mazoezi makali kwa ajili ya hatua inayofuata.
ReplyDelete