August 16, 2019


UONGOZI wa Simba umewataka watanzania kuungana kwa sasa kwenye michezo ya Kimataifa bila kujali aina ya timu anayoshabikia.

Kwenye michuano ya kimataifa, Yanga itakuwa ugenini nchini Botswana itamenyana na Township Rolles kati ya Agosti 23-25, KMC itamenyana na AS Kigali, Azam FC itamenyana na Fasil Kenema na Simba wao watakuwa nyumbani wakimenyana na UD Songo.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ni wakati wa Taifa kuungana kuzipa sapoti timu zote bila kubagua hata Yanga pia wanapaswa waipe sapoti Simba kama wao ambavyo wanazipa sapoti timu zote.

"Taifa inabidi liungane, mashabiki wa Simba, Azam FC, Simba lazima kwa sasa tuwe kitu kimoja, haijalishi wewe ni shabiki wa timu gani kwa sasa tupo kwenye kazi ya Taifa.

"Mafanikio ya klabu zetu zote ni kwa manufaa ya Taifa na si timu moja hivyo kikubwa ni sapoti katika kila hatua," amesema. 

4 COMMENTS:

  1. Nyie waandishi ndio kwa kiasi kikubwa makochangia kuendeleza huu upumbavu wa kuwahimiza mashabiki kuzishangilia timu za kigeni.Ukisoma tu hicho kichwa cha habari hapo juu basi utajua kama mwaandishi kama hakanyagwi basi ana chembe chembe za ushoga au sio mbaya ukisema kuwa ni kilaza. Sumba kwa kupitia Msemaji wake Khaji Manara hawakuomba sapoti Yanga kwanza Simba tangu lini inahitaji sapota ya Mashabiki? Timu yenye kujaza mashabiki uwanjani hata mechi za kirafiki kila wanapocheza. Alichokisema khaji manara ni kwamba watanzania awe wa Azam,Kmc,Simba,Yanga ni busara kuweka utaifa mbele inapokuja Yanga au Azam au hata Simba inacheza na timu ya nje basi watanzania tuungane kushangilia timu za nyumbani na kusahau tofauti zetu . Sasa hapo sapota gani Simba anayoomba kutoka kwa Yanga? Kwanini usiandike Yakwamba Simba wanaiombea sapota Yanga kwani wao ndio wenye tatizo la kushindwa kuwaiita mashabiki wengi uwanjani.

    ReplyDelete
  2. ila juz tu township rollers walipata fans kutoa mkian a.k.a kishundu, leo vp hyo ya yanga kuipa sapoti tena?!!!?

    ReplyDelete
  3. Kila timu ijibebe si ndo unamaanisha?Simba rekodi ya kujaza uwanja ipo CUF

    ReplyDelete
    Replies
    1. kujaza uwanja ndo mafanikio ya mpira? au rekodi gani?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic