YANGA WATAPITA HAPA KUFUZU LIGI YA MABINGWA AFRIKA - VIDEO
Klabu za Simba na Yanga ndiyo timu peke zinazo shiriki ligi ya mabingwa barani Afrika na huku zikiwa zina anza hatua ya kwanza ya Ligi hiyo ambapo zitalazimika kushinda mechi za marudiano.
Sikiliza mahojiani ya kipindi cha Spoti Hausi ili kuona namna wachambuzi walivyozungumzia mechi za CAF kwa Simba na Yanga.








Mjadala uwe namna gani wanachama na mashabiki wa Yanga waende Botswana kuhamasisha timu ili wapate ushindi...hili ndilo la kulifanya kwa sasa hivi
ReplyDelete