MAHAKAMA YAMKATAA DISMAS TEN YANGA - VIDEO
Wadau mbalimbali wa soka wamezungumzia kuhusiana na kinachoendelea katika mitandao ya kijamii ikihusisha kutetereka kwa cheo cha ofisa habari wa klabu ya Yanga.
Hiyo imetokana na kutojaa kwa mashabiki wa Yanga uwanjani huku wapinzani wao Simba wakijaza uwanja.








Mjadala uwe namna gani wanachama na mashabiki wa Yanga waende Botswana kuhamasisha timu ili wapate ushindi...hili ndilo la kulifanya kwa sasa hivi
ReplyDeleteSalehe Ally ni mwandishi mkongwe...ila umekosa weledi wa kazi yako na kuegemea upande wa habari za kishabiki...hebu tueleze kwa kipande hicho cha video watu wa4 wamehojiwa,ni mmoja tu amesema kuwa D10 hafanyi Kumhamasisha yeye kwenda uwanjani...wahojiwa wote wameeleza kuwa D10 anafanya kazi zake vizuri na ISIPOKUWA mashabiki hawana imani na ti mu yao ndio maana hawahamasiki kwenda uwanjani wakihofia matokeo mabovu na kutokupata ladha tamu ya mpira...sasa hapo mahakama ipi imemkataa D10????????....waandishi hovyo kama wewe ndio maana mpo very cheap na kukosa weledi wa kazi zenu.
ReplyDelete