KIKOSI cha Yanga leokimeanza safari kuelekea nyanda za juu kaskazini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Township Rollers.
Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa kikosi kitaweka kambi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya hali ya hewa kuendana na ile ya Botswana.
Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 nchini Botswana na Yanga ina kibarua cha kutafuta ushindi baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 uwanja wa Taifa.








Nyanda za kuu kaskazini !!!Seriously???
ReplyDeleteNyanda za juu
ReplyDeletekuna timu kama tano ambazo tayari zina historia ya kuchukua champions cup, zikiwemo melody sundown, esperance, asante kotoko nk ambazo wikiendi iliyopita zimefungwa ugenini..Tangu Yanga imecheza na township rollers na kutawala kipindi cha pili kila siku tunasikia wimbo wa ushindi wa Yanga nchini Botswana! Kipindi cha pili wale walikuwa wanalinda goli, na Yanga hawakuwa na cha kupoteza kwani tayari wameishapoteza. ukweli ni kwamba yanga kushinda marudiano ni ndoto! na kweli hatuna uhakika na tunachoongelea. Ni vizuri kuwa na ndoto ila ziwe realistic!
ReplyDelete