Mshindi wa SportPesa Jackpot bonus yenye thamani ya shilingi 17,771,715 TZs Bw.Jumanne Ramadhani Ngura kutoka Arusha akikabidhiwa mfano wa hundi na Meneja Uhusiano SportPesa Bi. Sabrina Msuya mara baada ya usahihi mechi 12 kati ya 13. JackPot ya wiki hii ni zaidi ya shilingi milioni 227.
0 COMMENTS:
Post a Comment