FT; Azam FC 0-1 Triangel United
Kipindi cha pili zimeongezwa dakika tano
Uwanja wa Azam Complex
Goaal: Ralph Kawondera dk ya 34
MCHEZO uwanja wa Azam Complex kati ya Azam FC dhidi ya Triangel United ikiwa ni wa hatua ya Kwanza Kombe la Shirikisho ni FT.
Azam FC imepoteza mchezo kwa kufungwa bao 1.
Mashabiki wengi wamejitokeza uwanjani kuipa sapoti timu ya Azam FC huku wakiwa wanachekelea zawadi ya Juice mpya ya Ukwaju pamoja na Ice cream.
Duuh timu yetu imefungwa
ReplyDelete