MMOJA WA KIMATAIFA SIMBA APEWA MAZOEZI MAALUM - VIDEO Mshambuliaji wa Simba Deo Kanda amefanya mazoezi maalum akiwa peke yake kutokana na kuwa majeruhi ili kujiweka sawa na wenzake na kuendelea na mazoezi ya kawaida.
0 COMMENTS:
Post a Comment