ZAHERA AFUNGUKA JUU YA MAKAME KUJFUNGA, ATAJA SABABU ZA KUCHELEWESHA SUB - VIDEO
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera afunguka sababu za kuchelewa kufanya mabadiliko, asema lengo lake lilikuwa kujiandaa kwa ajili ya mikwaju ya penati endapo mchezo ungemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Kuhusu bao la kujifunga, Zahera amesema kiungo wake Abdul-aziz Makame alikuwa amechoka lakini hakutaka kumtoa kutokana na umuhimu wake kwenye penati.
0 COMMENTS:
Post a Comment