BIEBER AWEKA WAZI JUU YA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA
Mwanamuziki kutoka pande za Marekani Justine Bieber amewadokeza mashabiki zake ujio wa album yake mpya kabla ya mwaka huu kuisha.
Justine Bieber ambaye hajatoa kazi yoyote tangu mwaka 2015 kupitia ukurasa wake wa instagram alipost video fupi akiwa na mke wake Hailey wakisema “Album coming out this year. Another song coming out soon.”
0 COMMENTS:
Post a Comment