BIEBER NA HAILEY WAFUNGA NDOA KWA MARA YA PILI
Justin Bieber na Hailey Baldwin walifunga ndoa mara ya pili jana (Jumatatu) mbele ya marafiki na wanafamilia huko South Carolina, Marekani.
Matayarisho ya ndoa hiyo yalianza Jumapili, siku moja kabla ya ndoa, ambapo palikuwa na shamra za kila aina, ikiwemo michezo.
Ndoa hiyo ilifanyika mbele ya wageni wapatao 150.
Sherehe hiyo ilipambwa na mastaa kibao wakiwemo Ed Sheeran, Kylie na Kendal Jenner, Usher Alec Baldwin, Kylie Jenner, Travis Scott, Kendall Jenner, Ed Sheeran, Jaden Smith, Usher, Baldwin Brothers.
0 COMMENTS:
Post a Comment